Submitted by Ndimbumi on Jumatatu , 21st Jul , 2014
Baada ya kuona usaili wa kwanza ndani ya viwanja vya Don Bosco Upanga, kaa tayari kuona usaili wa pili na kufahamu makundi yatakayojitokeza na yatakayofanikiwa kuingia Robo fainali ya Dance 100% (2014).