Submitted by Dickson on Jumanne , 5th Jan , 2016Leo kwenye 5selekt mchongo wetu wa leo tutakupa njia za kufanya mteja wako aridhike/afurahie,na kwenye chemba yetu leo, unafanya nini kupunguza hasira yako?