Name: 
ABDUL ZEDDY
Napenda kuambia watanzania kuwa waamke na wajue kupiga kura ni moja kati ya haki za msingi za mwananchi, 25 October tujitokeze kupiga kura.
Category: 
Hamasisha