Kelvin Yondani
Taifa stars itacheza pia michezo miwili ya kufuzu AFCON mwishoni mwa mwezi Machi ikiwa ni michezo ya kundi J, ambapo kikosi Tanzania kitakuwa na mchezo dhidi ya Equatorial Guinea Machi 22, 2021. mchezo huuutachezwa ugenini na Machi 30 itacheza dhidi ya Libya mchezo utakao chezwa Dar es salaam.
Kwenye kundi hilo taifa Stars ipo nafasi ya 3 ikiwa na alama 4, wakati Tunisia ndio vinara wa kundi hilo na wameshafuzu wakiwa na alama 10 na nafasi ya pili wapo Equatorial Guinea wenye alama 4 na Libya ndio wanaburuza mkia wakiwa na 3.
Kikosi kamili kilichoitwa na kocha Kim Poulsen
Kikosi cha taifa stars