Alhamisi , 21st Oct , 2021

Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump amepanga kuzindua mtandao wake wa kijamii  mwezi ujao baada ya kufungiwa kutumia Facebook na Twitter baada ya kudaiwa kuchochea vurugu katika majengo ya Bunge Marekani Januari 6, 2021.

Picha ya ‘TRUTH Social’

Mtandao huo unaitwa ‘TRUTH Social’ na utamilikiwa na Trump Media & Technology Group (TMTG) ambapo kwa sasa unapatikana kwa baadhi ya watumiaji wa bidhaa za Apple kwa kupre-order.