Jumanne , 5th Oct , 2021

Wanawake wengi hufanya upasuaji (surgery) ili kuboresha mwonekano wao, na kwa mara nyingine tena Muna Love amfanya hivyo kwa kutengeneza lips za mdomo wake.

Picha ya Mjasiriamali Muna Love

Huu ni mwendelezo wa upasuaji kwake baada ya  kufanya hivyo sehemu ya shavuni na kutengeneza dimpozi na kuweka nyusi huko nchini Uturuki huku bado anatarajia kuendelea mpaka zifikii (Surgery) nane ili kutimiza idadi ya surgery 11 ambazo aliahidi atafanya.