Jumatano , 29th Jun , 2022

Digital Creator maarufu Nigeria Tweet Oracle "Aura Cool" ameshea hili kuhusu wanaume walioa kuwalipa posho wake zao kila mwisho wa mwezi.

Picha ya Tweet Oracle "Aura Cool"

 

Ujumbe huo ameshea kwenye akaunti yake ya Twitter kwa kuandika kuwa "Kila mwanaume wa kweli aliyeoa anapaswa kumweka mke wake posho ya kila mwezi. Pesa ya chakula sio posho".