Alhamisi , 26th Dec , 2019

Msanii wa Muziki wa BongoFleba Shilole amesema moja ya mambo ambayo anafurajia kwa Mumewe Uchebe ni kupigwa kwa kile alichokieleza ni ishara kuwa kuwa anapendwa.

Shilole na Mumewe Uchebe

Shilole ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye Kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa kwenye kurasa za Facebook na YouTube ya East Africa TV kinachorushwa kila siku ya Jumatano kuanzia saa 8 : 30 Mchana hadi S 9 : 30 Alasiri.

"Mimi kiukweli nikipigwa na Mume wangu huwa nasikia furaha sana kama umekosea kwanini usipigwe na vibao vyake vingi huwa vinakua vya mahaba " amesema Shilole

Tazama video kamili hapo chini