Alhamisi , 28th Nov , 2019

Muigizaji wa BongoMovie Tanzania Esha Buheti amesema moja ya wasanii wakiume Tanzania ambao wanalelewa sana na wanawake ni Yusuph Mlela pamoja na rafiki yake Hemed Suleiman (PHD).

Muigizaji wa BongoMovie Tanzania Esha Buheti

Buheti ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye kipindi cha KIKAANGONI kinachorushwa kqwenye kurasa za Facebook na YouTube ya East Africa TV ambapo amesema anaatarifa watu hao wanahudumiwa na wanawake zao.

Buheti amesema kuwa "Ni kweli unajua kuna wasanii ambao mii nawafahamu japo wengine unajua siwezi kuwataja kwa sababu najua nitagombana nao bure."

'ila kwa sasa ninaowafahamu ni Mlela na rafikiyake Hemed PHD'; amesema Esha Buheti