Jumapili , 26th Dec , 2021

Muigizaji mwenye wafuasi wengi zaidi instagram akiwa na wafuasi million 284 Dwayne Johnson maarufu 'The Rock' amzawadia mama yake mzazi gari mpya katika siku ya Krismasi.

The Rock na mama yake wakati akimpa zawadi ya gari

Gari hilo linatajwa kuwa ni aina ya 2022 Cadillac CT5 ambalo thamani yake ni $50,000, ambazo ni zaidi ya fedha za kitanzania shilingi 115,300,000.

Mama yake The Rock akiwa kwenye gari jipya alilokabidhiwa na mwanaye

Tazama Video hapo chini