Jumamosi , 9th Jul , 2022

Mmoja wa waasisi wa Kaole Sanaa Bi Chuma Suleiman maarufu kama 'Bi Hindu' amefariki dunia leo nyumbani kwake Magomeni, Dar es Salaam baada ya kusumbuliwa na maradhi ya muda mrefu.

Picha ya Bi Hindu enzi za uhai wake

East Africa TV na East Africa Radio inatoa pole kwa familia ya Bi Hindu kwa msiba huu mzito.

#RIPBiHindu