Alhamisi , 29th Sep , 2022

Ujumbe wa msanii Ruger kutoka nchini Nigeria kwa mashabiki zake baada ya kutua Tanzania kwa mara ya kwanza kwa ajili ya kufanya bonge la show pale Ware House Masaki siku ya Oktoba 1.

Picha ya msanii Ruger akiwasili nchini Tanzania kwa mara ya kwanza

"Tanzania nipo hapa na sijasahau mabegi yangu tuonane Oktoba" - Ameandika Ruger kwenye Akaunti yake ya Twitter.

Wasanii Ruger, Nyashinski kutoka Kenya na Jay Melody wote watapiga bonge moja la show Jumamosi hii pale Ware House Masaki.