Jumatano , 22nd Dec , 2021

Shishi Baby Shilole amefunguka kilichotokea mitandaoni baada ya Shaa kuweka wazi kinachoendelea kati yake na mzazi mwenziye Producer Master J kuhusu masuala ya mtoto.

Picha ya Shilole kushoto, kulia ni Master J na Shaa

Shilole anasema kama kweli kuna matatizo kati yao na wameshindwa kuzungumza kuyamaliza kila mtu aishi maisha yake.

Zaidi mtazame hapa Shilole akizungumzia hilo.