Jumanne , 24th Mei , 2022

Shabiki wa Harmonize August Thomas amefunga safari ya kutoka Mbeya mpaka Dar es Salaam kwa ajili ya kumletea zawadi ya mbuzi msanii huyo.

Picha shabiki aliyemletea Mbuzi Harmonize

Pia amefunguka kitendo alichokutana nacho baada ya kufika nyumbani kwa msanii huyo Konde Village. 

Zaidi tazama hapa kwenye video.