Jumanne , 30th Nov , 2021

Mzazi mwenza na mpenzi wa staa wa filamu Jacqueline Wolper Rich Mitindo, ametoa 'Exlcusive' kupitia EATV & EA Radio Digital, kwa kutaja mahari ya Wolper ambayo thamani yake ni ng'ombe 10.

Picha ya Jacqueline Wolper na Rich Mitindo

Rich Mitindo anasema taratibu za kwenda kwa wazazi tayari zimeshafanyika na kinachosubiriwa ni ndoa tu.

Wapenzi hao wali-make headline mwezi August 2021, baada ya Rich Mitindo kumvisha pete ya uchumba Wolper, na mpaka sasa kwenye mahusiano yao wamebahatika kupata mtoto mmoja.

Zaidi mtazame hapa chini kwenye video akizungumzia hilo.