Jumanne , 30th Apr , 2024

Ni Headlines za Hitmaker wa ‘’Calm Down” Rema akisema sasa hivi Muziki wa Africa hauna tena ile ‘Big Three’ (Burna Boy, Davido na Wizkid) bali kuna ‘Big Four’ akiongeza jina lake katika list hiyo ya wasanii wakubwa.

Picha ya Mwanamuziki Rema

“Hakuna Big 3 sasa kuna Big 4” ameandika Rema

Story nyingine kuhusu Rema amefunguka kwamba amebadilisha muziki wa Africa (AfroBeats) kuanzia Sound, Shows na Brand.

Pia anajua watu wengi wanaiga style yake na anafurahishwa na jambo hilo ila anajua hawawezi kumpa utukufu na maua yake mapema.