Jumanne , 21st Dec , 2021

Msanii Gigy Money 'Mama Mayra' anasema amechoka kuonekana miyayusho kama baadhi ya watu wanavyomchukulia na kwa sasa anataka kuwa serious.

Picha ya msanii Gigy Money

Gigy Money amesema hilo kwenye page yake ya Instagram kuwa kuandika ujumbe wa hapo chini.

"Maisha ni vile unaamua kuishi, ukitaka kuonekana serious au miyayusho is all on you baby, binafsi nimechoka kuonekana miyayusho niko serious kuliko akili yako inavyofanya kazi".