Jumatatu , 27th Dec , 2021

Wanasema ushemeji huwa haufi lakini sio kwa msanii Nay wa Mitego ambaye anasema hana ushemeji kama kama mkali wa muziki wa singeli Manfongo.

Picha ya msanii Nay wa Mitego

Kupitia EATV & EA Radio Digital, Nay anasema ikitokea mtu au mshkaji wake ameachana na mpenzi wake halafu yeye akampenda basi anamchukua na wasilaumiane katika hilo ila ni makosa kumchukua mke wa mtu.

Zaidi mtazame hapa akizungumzia hilo.