Nai amkataa Moni, nipo 'single' sihitaji mwanaume

Jumapili , 10th Jan , 2021

Mwimbaji mrembo Nai amesema hata iweje hawezi kufanya collabo na mpenzi wake wa zamani rapa Moni Centrozone.

Msanii Nai (kushoto) na Moni Centrozone (kulia)

Akisisitiza hilo Nai amesema kitendo cha yeye kuonekana akiimba moja ya ngoma za Moni hakimanishi wana ukaribu.

Kwa upande mwingine mrembo huyo ameweka wazi kwasasa yupo single ila hataki wanaume anachofanya sasa ni kutafuta pesa.

Tazama Video hapo chini