Mmemsikia Miss Bella au aongeze sauti kidogo

Alhamisi , 18th Feb , 2021

Ni 'Headlines' za msanii Miss Bella ambaye ametoa kali ya mwaka kwa kusema mpenzi wake "Iky wa Time" kuwa ni mwanaume mzuri kuliko wanaume wote wa mastaa wa kike hapa nchini Tanzania.

Miss Bella na mpenzi wake Iky wa Time

Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital, Miss Bella amesema "Fatilizia kila staa mmoja unayemjua halafu mchukue mwanaume wake kisha umlinganishe na mwanaume wangu, yaani nasema tena hakuna mwanamke super star Tanzania mwenye mwanaume mzuri kama Miss Bella hapa duniani".

Zaidi tazama hapa chini kwenye video.