Kajala aomba msaada wa serikali kwa Paula

Jumapili , 14th Feb , 2021

Baada ya kusambaa kwa video mtandaoni zikimwonesha mtoto wa muigizaji Kajala, Paula akiwa na mwanaume, Kajala amesema anaomba msaada serikali ichukue hatua kwa wahusika wote.

Kajala na mwanaye Paula

Pia ameweka wazi kuwa ni kweli Paula Februari 9 alichukuliwa na Hamisa Mobetto kwaajili ya lunch na ndio siku ambayo hizo video ziliporekodiwa baada ya mtoto wake kurubuniwa na kunyeshwa pombe.