Ijumaa , 26th Nov , 2021

Usiku wa kuamkia leo staa wa muziki na filamu Bongo Hamisa Mobetto ame-make headlines mitandaoni baada ya kushea video kwenye 'Insta Story' yake akiwa na msanii wa HipHop Marekani Rick Ross.

Picha ya Hamisa Mobetto na Rick Ross

Video hizo zinaonyesha wawili hao wakiwa Dubai waki-kiss, kukumbatiana, kucheza, kuondoka pamoja jambo ambalo limetafsririwa kama wapo kwenye mahusiano kutokana ukaribu wao ulivyokuwa mkubwa.

Zaidi watazame hapa chini kwenye video.