Jumatatu , 6th Dec , 2021

Msanii Gigy Money 'Mama Mayra' ameweka wazi kwamba hana tofauti yoyote na Alikiba japo aliwahi kumkataa kimaneno kwa kusema hamjui wakati walikuwa wanafahamiana.

Picha ya Alikiba na Gigy Money

Gigy Money ameshea hilo baada ya kumsapoti Shilole kwenye ugomvi wake na Alikiba baada ya Kiba kusema hakumualika Shilole kwenye uzinduzi wa Album yake ya Only One King.

Interview nzima bonyeza hapa kutazama.