Camera ya ENewz ilikutana na aliyekuwa mume na pia meneja wa mwanadada Lady Jay Dee, Gadner G Habash na kutaka kupata mtazamo wake juu ya wimbo mpya wa Lady Jay Dee uitwao "Ndi Ndi Ndi", hii ni kutokana stori kuzagaa mitaani kuwa "Ndi Ndi Ndi" ilikuwa ni fumbo kwa Gadner.
Gadner alikataa kuzungumzia chochote kuhusu nyimbo hiyo na kusema "Si ajabu watu wakinishangaa kwa hili, kama kushangaa watu wanashangaa hata mlima Kilimanjaro ambao upo kila siku.