Kushoto ni Ommy Dimpoz kulia ni Haji Manara akifunga ndoa na mke wake
Ommy Dimpoz ni mmoja wa waalikwa kwenye tukio la Haji Manara akifunga ndoa na msaidizi wake Rushaynah ambapo amesema
"Wallahi nikikua nataka kuwa kama Haji, haogopi kwenye maamuzi mtu bingwa kabisa" amesikika akisema Ommy Dimpoz.