Kushoto ni Chidi Benz kulia ni Lil Nas x
Akizungumzia kuhusu picha hiyo Chidi Benz anasema amepost kwa maana ya kuwakumbusha baadhi ya wasanii wa Bongo wanaofanya kiki kama hizo.
"Instagram yangu kuna mtu anaiongoza ila ile picha ya Lil Nas akiwa mjamzio niliipost mimi, nilikuwa naona ni jinsi gani watu wanatafuta kiki iliyopitiliza pia nilikuwa nawaongelea wa hapa nyumbani achana na hao ambao wanajichagulia na hawapo duniani".