Alhamisi , 23rd Dec , 2021

Cardi B hataki masihara kabisa kwa Offset, unaambiwa kwenye kumbukumbu ya kuzaliwa kwa 'Baby daddy' wake huyo anayetimiza miaka 30 siku ya leo, amempa hundi yenye thamani ya Dola Milioni 2 sawa na Tsh Bilioni 4.

Picha ya pamoja Offset na Cardi B

Cardi B amempa hundi hiyo kwenye stage ya ukumbi mmoja wa starehe nchini Marekani, na huu ndio umekuwa utaratibu wa wawili hao kupeana zawadi na kufanyiana 'surprise' kwenye siku za kuzaliwa kwao.