Jumanne , 14th Feb , 2017

Msanii Becka Title kutoka katika kundi la B.O.B Micharazo amefunguka na kusema katika kundi lao hilo hakuna mtu ambaye anatumia dawa za kulevya

Beka amesema taarifa zilizopo mtanii kuwa baadhi ya wasanii kutoka kundi hilo wanauza na kutumia dawa za kulevya akiwemo Mra Blue ni uzushi usio na uhalisia wowote. 

Tazama video............................