Jumatano , 22nd Dec , 2021

Staa wa filamu Bongo Aunty Ezekiel ameweka wazi hisia zake za kutamani kupata mtoto mwingine na msanii Kusah.

Picha ya Aunty Ezekiel, Kusah na mtoto wao

Aunty Ezekiel ameshea picha ya mtoto wao Heisnoman na kuandika "Khaaa nyie, mwambie baba Nono natamani mwingine".

Tayari Aunty Ezekiel ana watoto wawili, wa kwanza anaitwa Cookie amempata na Mose Iyobo, wapili ni Heisnoma aliyempata na mpenzi wake wa sasa Kusah.