Alhamisi , 30th Dec , 2021

Captain wa BongoFlava Tundaman anasema kama una rafiki snitch, mpenda bata, miyayusho au humuelewi we mpunguze tu, hii ndio style atakayoingia nayo staa wa filamu Irene Uwoya mwaka 2022.

Picha ya Irene Uwoya

Kupitia page yake ya Instagram Irene Uwoya anasema "Mwakani ni mwaka wa kupunguza watu, #2022punguzawatu".