Mkurugenzi wa Asasi ya Utawala Bora na Maendeleo Tanzania (CEGODETA) Thomas Ngawaiya
Mkurugenzi wa Asasi hiyo Thomas Ngawaiya amewashauri NCCR - Mageuzi wakae na kushauriana ili kutafuta suluhu ya mgogoro huo
‘’Nawaambia hawa wapinzani kwamba inapofika wakati, kwanza wengine wamefika mpaka wamekua wazee sana, naomba demokrasia iwepo, wenzako wakichaguliwa ama wewe ukiambiwa unaendelea basi endelea, mimi nilikua nafikiri NCCR wakae, washauriane, wajadili, mara sasa wanaanza kwenda mahakamani, jambo hili halipendezi’’