Mwalimu afukuzwa kazi na kufikishwa Mahakamani

Jumatano , 3rd Feb , 2021

Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU), mkoani Manyara imemfikisha mahakamani, aliyekuwa mwalimu wa shule ya msingi Olkitikiti wilayani Kiteto mkoani Manyara, Oscar Waluye kwa udanganyifu wa mtihani wa darasa la saba.

Picha ya moja ya ofisi za TAKUKURU

Taarifa ya TAKUKURU imeeleza kuwa Mwalimu Waluye, ambaye tayari ameshafukuzwa kazi, anatuhumiwa kufanya udanganyifu kwenye mitihani ya darasa la saba, Oktoba 2020.

Zaidi soma taarifa kamili hapo chini