Jumatatu , 22nd Mei , 2017

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC) kimeliomba Jeshi la Polisi nchini kutumia mbinu mbadala za kubaini viashiria vya uhalifu pamoja na matukio ya mauaji yanayotokea kwa sasa nchini

Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Wakili Anna Henga.

Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Kaimu Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Wakili Anna Henga na kusema mbinu za kisasa kama zitatumika zitakuwa na mafanikio makubwa ya kuwabaini wahusika wa mauaji hayo na kulinda haki za raia wasio na hatia.

Amesema kwa sasa Tanzania ina ongezeko kubwa la mauaji ambapo kwa mwaka huu zaidi ya polisi ohnerezeptfreikauf online doctor - health care e-commerce doctors ohnerezeptfreikauf online doctor bad entry? real doctors treat you fast online 36 wameuawa, zaidi ya raia 25 wameuawa na viongozi 20 walioripotiwa wameuawa na watu wasiojilikana.