Jumamosi , 16th Oct , 2021

Kampuni ya simu ya Nokia imetoa toleo jipya la simu ya Nokia 6310 baada ya miaka 20.

Picha ya simu ya Nokia 6310

Simu hiyo maarufu kama “Brick Phone” kutokana na muundo wake, kwa sasa ina uwezo wa kukaa na chaji kwa wiki tatu, pia ina game la kisasa la nyoka pamoja na Camera na itaanza kuuzwa nchini Uingereza kwa kiasi cha Tsh. 189,000.