Alhamisi , 28th Oct , 2021

Familia ya nyota wa muziki kutoka nchini Nigeria, Burna Boy imeendelea ku-takeover baada ya mdogo wake wa mwisho wa kike, Nissi Ogulu kuhusika kwenye uundaji wa gari aina ya Range Rover toleo jipya la mwaka 2022.

Picha ya msanii Nissi Ogulu

Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii ame-share furaha yake ya kuwa sehemu ya timu iliyohusika kukamilisha gari hilo ambalo wamitumia miaka mitatu kuliunda.