Jumatatu , 18th Oct , 2021

Kampuni ya kamera ya Canon imefanya mapinduzi makubwa ya Teknolojia baada ya kutoa aina mpya ya lensi “RF 5.2mm F2.8 L  Dual Fisheye” ambayo itakuwa na lensi mbili za Fisheye.

Picha ya Kamera ya Canon ikiwa na lensi mpya

Lensi hii itatumika kukusanya maudhui ya Virtual Reality (VR) katika muundo wa 3D nachukua picha za stereoscopic 180º  huku ikibadilishana kufanya kazi na lensi ya kwanza ya Kamera ikitumia Dual Fisheye inayounganisha lensi mbili na kutumia sensor moja ya kamera.