![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/Untitled-5.jpg?itok=yVImCyDq)
Mwakilishi wa kampuni ya mtandao wa simu wa Vodacom-Tanzania ambayo ni Mdhamini mkuu wa mashindano ya Dance100%, Akiongea jambo kabla ya mashindano hayo kuanza yaliyofanyika katika kiwanja cha Don Bosco - Oysterbay jijini Dar es salaam Julai 26.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/Untitled-3.jpg?itok=QN2EFaw0)
Mmoja wa Majaji wa Shindano la Dance100% Hassan Nyamwela akiingia kwa manjonjo katika mashindano hayo yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jumamosi Julai 26 2014 katika viwanja vya mpira wa kikapu Don Bosco - Oysterbay.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/Untitled-4.jpg?itok=3IK7Pe8A)
Jaji mwengine wa mashindano ya Dance100% Lotus Kyamba akiingia kwa madaha kwenye viwanja vya Don Bosco - Oysterbay jijini Dar es salaam.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/Untitled-7.jpg?itok=RzQZBfkd)
Queen Darleen ambae nae ni mmoja wa majaji wa shindano la Dance100% akionyesha uwezo wake wa kusakata dansi wakati anaingia, mashindano ambayo yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay jijini Dar es salaam Julai 26 2014.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/Untitled-6.jpg?itok=mc5Y9_8X)
Vijana wa Grand Malt wakionesha Mbwembwe zao za kucheza kwa kutumia baiskeli kabla ya shindalo ilo kuanza, Grand Malt ndio kinywaji rasmi katika mashindano ya Dance100%.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/Untitled-13_0.jpg?itok=Q1oNwxOA)
Washehereshaji wa shindano la kudansi la Dane100% Tony Albert ama kwa jina maarufu T-Bway 360 na Menina Atick, wakiwa tayari kwa kuanza mashindano hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Don Bosco - Oysterbay Julai 26 2014 jijini Dar es salaam.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/Untitled-8.jpg?itok=TID5QlGp)
Kundi la THE MOB wakionesha Umahili wao wa kudansi katika shindalo la usaili wa pili Dance100% katika viwanja vya mpira wa kikapu Don Bosco - Oysterbay yaliyofanyika Julai 26 2014 jijini Dar es salaam.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/Untitled-9.jpg?itok=KeaSqo0o)
Kundi la INTER CREW wakionesha uwezo wao katika Danse100% Don Bosco - Oysterbay.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/Untitled-10.jpg?itok=D1zxxxFp)
NEW TEAM ni moja ya makundi yaliyotokea kushiriki katika usaili wa pili wa mashindalo la Dance100% yaliyofanyika katika viwanja vya mpira wa kikapu Don Bosco - Oysterbay jijini Dar es salaam Julai 26 2014.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/Untitled-11.jpg?itok=33ALn9UK)
PAMBANA FASAHA wakionesha uwezo wao wa kusakata dansi
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/Untitled-12.jpg?itok=kzwBrO2F)
Majaji wa shindalo la Dance100% Hassan Nyamwela na Queen Darleen (mwenye miwani) wakiandika alama ambazo wanatoa baada ya kundi husika kumaliza kuonesha uwezo wao wa kudansi.
![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/Untitled-14.jpg?itok=bkwXOLyc)
BUSTANI DANCERS