QUICK PROFILES

ROMANI WILLBERTY
+

Nimezaliwa mwaka 2000 wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto kataika familia ya watoto 5 nina kaka 3 

Ninaishi ILALA BOMA na WAZAZI

Mtaani kwangu najulikana kwa ROMMY SHOKI

Mimi nasoma FORM ONE

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) BADO NASOMA

ADRISH JUMA
+

Nimezaliwa mwaka 1999 wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 3 

Ninaishi ILALA / KEKO na UBUNGO

Mtaani kwangu najulikana kwa YOUNG ACE

Mimi nasoma FORM 3

Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya kucheza dansi) BADO NASOMA

SAID MBWANA OMARY
+

Nimezaliwa mwaka 1998 wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 3 nina kaka HAPANA na dada 1

Ninaishi KEKO na BABA

Mtaani kwangu najulikana kwa SAID

Mimi nimesoma mpaka FORM 2

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) NAMSAIDIA BABA KUUZA MKAA

KASIMU ALLY ALLY
+

Nimezaliwa mwaka 1999 wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 6 katika familia ya watoto 6 nina KAKA NDIYO

Ninaishi ILALA BOMA na ROMBO

Mtani kwangu najulikana kwa KASIMU BABLON

Mimi nimesoma mpaka  FORM TWO

Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya kucheza dansi) BADO NASOMA

ABDULL HASSAN HILLA
+

Nimezaliwa mwaka 2000 wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 5 nina kaka 3 na dada 1

Ninaishi ILALA KEKO na UBUNGO

Mtaani kwangu najulikana kwa SUPER THE DON

Mimi nasoma FORM ONE

Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya kucheza dansi) ni KUJISOMEA