QUICK PROFILES

HASSANI SALEHE SALEDI
+

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya ya watoto 6

ninaishi KIGAMBONI na FAMILIA

Mtaani kwangu najulikana kwa MSANII WA KUCHEZA

Mimi nimesoma mpaka DARASA 7 

Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya kucheza dansi ) MWALIMU WA DANCE

HANCE PASTORY
+

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 3 katika familia ya watoto 3

Ninaishi KIGAMBONI na WAZAZI

Mtaani kwangu najulikanakwa HANCE POP 

Mimi nimesoma mpaka DARASA LA 7

Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya kucheza dansi) KAZI YOYOTE NAFANYA

HUSSEIN SALEHE
+

Nimezaliwa mwaka 1986 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 5 nina kaka 1

Ninaishi KIGAMBONI na WAZAZI

Mtaani kwangu najulikana kwa JINA LA PACHA

Mimi nimesoma mapaka DARASA LA SABA

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) MFANYABIASHARA

EDY BRILLIANT
+

Nimezaliwa mwaka 1991 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto 1 katika familia ya watoto 4

Ninaishi PAMOJA na WAZAZI

Mtaani kwangu najulikana kwa JINA LA KIPARA

Mimi nimesoma mpaka CHUO ( CERTIFICATE OF HOSPITALITY IN TOURISM)

Shughuli zangu za kila siku ( zaidi ya kucheza dansi) BIASHARA)