YASINI HAJI MOHAMEDI
Jina La Utani:
KISIKI MWAMBA MTANZANIA
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KUDANCE NA KUTOA MAWAZO

Nimezaliwa 1994 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi nim mtoto wa 4 katika familia ya watoto 6 nina kaka 2 na dada 3

Ninaishi TEMEKE na WAZAZI WANGU

Mtaani kwangu najulikana kwa KISIKI

Mimi nimesoma mpaka FORM FOUR

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: KURUKA SARAKASI

 

Mafanikio katika Fani: 
Mafanikio yangu katika dance ni kidogo nimetembelea au nimetoka, nimeenda kujifunza dance nje ya nchi.
Year: