NURDINI MUSTAFA
Jina La Utani:
KIJO TIGER
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
MTOA IDEA

Nimezaliwa mwaka 1997 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 4 katika familia ya watoto 5 nina kaka  4

Mtaani kwangu najulikana kwa DANCER

Mimi nimesoma mpaka FORM TWO

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni SINA KAZI YOYOTE 

Mafanikio katika Fani: 
Dancer naidai haijanipa mafanikio Nlioridhika nayo zaidi ya pesa ya kunua nguo basi
Year: