NIMKA MKOLAS
Jina La Utani:
B-BOY ZUNGU
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
TEAM CAPTAIN

Nimezaliwa mwaka 1994 wilaya ya ILALA Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 6 katika familia ya watoto 6 Nina kaka 2 na dad 3

Ninaishi KIWALANI na WAZAZI WANGU

Mtaani kwangu najulikana kwa B-BOY ZUNGU

Mimi nimezoma mpaka FORM FOUR

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kucheza dansi) ni: KINYOZI

 

Mafanikio katika Fani: 
Nimeweza kutoka na kutembelea Nchi nyengine na kujifunza Dance.
Year: