JAMES ENGRIBETI KALIGO
Jina La Utani:
KALIGO MASTER
Jina La Kikundi:
Mchango Katika Kundi:
KUSHIRIKIANA NA WENZANGU

Nimezaliwa mwaka 1994 wilaya ya TEMEKE Mkoa wa DAR ES SALAAM

Mimi ni mtoto wa 2 katika familia ya watoto 3 

Ninaishi VUNGUNGUTI na WAZAZI WOTE WAWILI

Mtaani kwangu najulikana kwa VIPAJI VYANGU

Mimi nimesoma mpaka FORM FOUR

Shughuli zangu za kila siku (zaidi ya kudansi) ni: KURAP

 

Mafanikio katika Fani: 
Madogo kwasababu siliziki nayo
Year: