Submitted by mohamed on Sunday , 23rd Mar , 2014Ndani ya zecomedy Alhamisi hii: Wakati serikali ikipigana vita kuhusu suala la watoto wa shule kupata mimba Mzee mmoja ashangaza wazazi wa mwanafunzi baada ya binti kuwapeleka wazazi wake na kudai kuwa yeye ndo aliyempa mimba ikoje...