Submitted by richard on Thursday , 3rd Mar , 2016Jumamosi hii hii kwenye ZE COMEDY SHOW, Usikose kumuona Kanjibhai kawa Mchina, huku Mcharuko akimshobokea 'Supastaa' kule Baba Solomonii akutana na Mlugaluga kazi kweli kweli... Hii si ya kukosa saa 12:30 Jioni EATV PEKEE.