M-rap hana mda mrefu kwenye game lakini tayari ana mengi, sasa akiwa amefanya kazi na Frank Gongo. Wametengeneza filamu fupi kuhusu madawa ya kulevya.