Jumapili hii usikose kuangalia filamu kali inayomkutanisha Mr. Magari na bibie Ryama Ally na Deborah Dickson katika MY ENEMY sehemu ya kwanza.