Ni sehemu ya pili ya filamu KWANINI MAMA. Stori ya kijana aliyekuwa na mke na mtoto mmoja, akaacha kumsaidia mama baada ya kugombana na mkewe. Maisha yake yanamharibikia, mipango haipangiki, na mali zake zinaharibika. Je, mama atamsamehe kijana wake?