Vitendo vya ubakaji vinaendelea kushamiri nchini hasa vijijini. Huko Kahama, binti mwenye ulemavu wa akili abakwa. Pata kujua ilikuwaje na jinsi mbakaji alivyopatikana.