Submitted by Sophia on Tuesday , 18th Mar , 2014Kutana na mwanamke ambaye baada ya kufiwa na mume wake, familia ya mume inaamua arithiwe na shemeji yake, ikiwemo mali na watoto wote. Mama huyu baada ya kushindwa kuvumilia anaamua kuondokana na adha hiyo. Usikose kipindi ili kujua alifanya nini.